Lugha Nyingine
Uzalishaji na maisha ya watu vyarejea kwenye hali ya kawaida katika maeneo kadhaa ya Guizhou na Hunan ya China yaliyoathiriwa na maafa (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 01, 2024
Kutokana na mvua kubwa iliyonyesha, maafa ya mafuriko ya maji yalitokea katika maeneo kadhaa ya Mikoa ya Guizhou na Hunan ya China. Maeneo hayo yaliyoathiriwa yalihamasisha watu kufanya kazi za ukarabati na ujenzi baada ya maafa, wakihimiza uzalishaji na maisha ya watu kurejea kwenye hali ya kawaida hatua kwa hatua.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma