Lugha Nyingine
Kazi ya uokoaji na utoaji msaada yapamba moto wakati mvua kubwa inaponyesha Mkoani Anhui, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 28, 2024
HUANGSHAN – Katika siku za hivi karibuni, mvua kubwa inaendelea kunyesha katika Mji wa Huangshan wa Mkoa wa Anhui, Mashariki mwa China, wafanyakazi wa sekta mbalimbali wamehamasishwa kushiriki katika kazi ya uokoaji na utoaji msaada katika maafa.
Kituo cha kitaifa cha Unajimu cha China siku ya Alhamisi kilihuisha tahadhari ya rangi ya chungwa kutokana na dhoruba wakati ambapo mvua kubwa ikitazamiwa kuendelea kunyesha katika mikoa kadhaa ya China, ukiwemo Mkoa wa Anhui.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma