Lugha Nyingine
Kutumia droni kufanya doria misituni kwapunguza hatari za maafa huko Yichun, kaskazini mashariki mwa China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 28, 2024
Hivi karibuni, Idara ya misitu ya Dailing ya Mji wa Yichun, Mkoa wa Heilongjiang, Kaskazini Mashariki mwa China imeunganisha teknolojia ya hali ya juu ili kuimarisha usimamizi wa misitu. Kwa kutumia droni, idara hiyo imeanzisha kazi ya kufanya doria misituni kwa kutumia teknolojia ya kisasa na ya kiotomatiki, ikipunguza kwa kiasi kikubwa hatari za maafa na kuboresha ufanisi wa doria misituni.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma