Lugha Nyingine
Mbwa wa kunusa watia fora kwenye Siku ya Kimataifa ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji Haramu wa Dawa za Kulevya (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 26, 2024
Mbwa wa kunusa na kubaini dawa za kulevya akifanya onyesho la kunusa na kubaini dawa za kulevya kwenye shughuli ya kuhimiza kupinga matumizi ya dawa za kulevya iliyofanyika katika shule ya Mji wa Sunzu ya Wilaya ya Yinan ya Mkoa wa Shandong, China, tarehe 24, Juni, 2024. (Picha na Wang Yanbing/VCG) |
Tarehe 26, Juni ya kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji Haramu wa Dawa za Kulevya. Katika vita hivyo dhidi ya dawa za kulevya, kuna kundi muhimu sana ambalo ni mbwa wa kunusa na kubaini dawa za kulevya. Uwezo wao wa kuhisi dawa za kulevya, unaweza kusaidia binadamu kuona au kubaini dawa za kulevya zilizofichwa kwa undani sana.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma