Lugha Nyingine
Katika picha: Ukumbi wa Mkutano wa Davos wa majira ya joto 2024
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 25, 2024
Mkutano wa Davos wa Majira ya joto 2024 unafanyika kuanzia leo Juni 25 hadi Juni 27 huko Dalian, mji wa pwani wa kaskazini mashariki mwa China, ofisi ya uratibu wa mkutano huo ya Mji wa Dalian imesema.
Ukiwa unajulikana pia kuwa Mkutano wa 15 wa Mwaka wa Mabingwa Wapya wa Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF), mkutano huo utakuwa na kaulimbiu isemayo "Vichocheo vya juu Vinavyofuata vya Ukuaji."
Ujumbe wa watu zaidi 1,600 kutoka sekta za siasa, biashara, taaluma na vyombo vya habari wa nchi na maeneo karibu 80 watahudhuria kwenye mkutano huo.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma