Lugha Nyingine
Mkutano wa Davos wa Jukwaa la Uchumi Duniani wa majira ya joto 2024 wafanyika Dalian, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 24, 2024
Picha iliyopigwa tarehe 17 Juni 2024 ikionyesha Uwanja wa Xinghai mjini Dalian, Mkoa wa Liaoning, Kaskazini Mashariki mwa China. (Xinhua/Yang Qing) |
Mkutano wa Davos wa Jukwaa la Uchumi Duniani wa Majira ya Joto 2024 utafanyika kuanzia Juni 25 hadi 27 katika mji wa pwani wa Dalian, Kaskazini-Mashariki wa China, ofisi ya uratibu ya mkutano huo ya mji wa Dalian imesema
Ukiwa unajulikana pia kuwa Mkutano wa 15 wa Mwaka wa Jukwaa la Uchumi Duniani wa Mabingwa Wapya, mkutano huo wa mwaka huu utakuwa na kaulimbiu isemayo "Vichocheo vya juu Vinavyofuata vya Ukuaji."
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma