Lugha Nyingine
Maonyesho ya Teknolojia za Akili Mnemba Duniani Mwaka 2024 yafunguliwa Tianjin, China (9)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 21, 2024
Washiriki wanaonekana pichani wakielekea kwenye Kituo cha Kitaifa cha Mikutano na Maonyesho mjini Tianjin, Kaskazini mwa China, Juni 20, 2024. (Xinhua/Sun Fanyue) |
Maonyesho ya Teknolojia za Akili Mnemba Duniani Mwaka 2024 yamefunguliwa siku ya Alhamisi mjini Tianjin, Kaskazini mwa China. Yakiwa na kaulimbiu isemayo "Akili Mnemba: Nafasi kubwa ya Maendeleo, Kichocheo cha Ukuaji Endelevu," maonyesho hayo yanaandaliwa kwa pamoja na serikali za miji ya Tianjin na Chongqing ya China.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma