Lugha Nyingine
Eneo?la Kaskazini Mashariki mwa China laboresha viwanda vya jadi?na?kuendeleza viwanda vya teknolojia ya hali ya juu (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 19, 2024
Mfanyakazi akifanya kazi kwenye kampuni ya Saa ya Peacock iliyoko Mji wa Dandong, Mkoa wa Liaoning, Kaskazini Mashariki mwa China, tarehe 18 Juni 2024. (Xinhua/Fan Yuqing) |
Shughuli za utengenezaji wa saa ni mojawapo ya shughuli za jadi katika Mji wa Dandong, Mkoa wa Liaoning, Kaskazini Mashariki mwa China. Katika miaka ya hivi karibuni, mji huo wa Dandong umehamasisha kwa nguvu kubwa uvumbuzi wa teknolojia na kukuza kampuni za kivumbuzi, ili kuboresha viwanda vya jadi na kuendeleza uzalishaji wa bidhaa unaotumia teknolojia ya hali ya juu.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma