Lugha Nyingine
Vijana wajiunga na shughuli zinazohusu roboti ili kuongeza maendeleo yake yenye ubora wa juu (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 07, 2024
Ujanibishaji wa uzalishaji wa sehemu muhimu za bidhaa na kuongezeka kwa kampuni za uvumbuzi umeleta msukumo mpya katika sekta ya roboti nchini China. Katika eneo la kati la nchini China, kuna vijana wengi zaidi wanajiunga na sekta hiyo ya roboti na kuhimiza maendeleo yake yenye ubora wa juu.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma