Lugha Nyingine
Shughuli za kitamaduni za Longtan za Sikukuu ya Duanwu Mwaka 2024 zafanyika Beijing, China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 06, 2024
Watu wakitazama mbio za mashua ya dragoni kwenye Bustani ya Longtan katika Eneo la Dongcheng la Beijing, China, tarehe 5 Juni, 2024. (Xinhua/Ju Huanzong) |
Shughuli za kitamaduni za Longtan za Sikukuu ya Duanwu Mwaka 2024 zimefanyika mjini Beijing, China siku ya Jumatano, ambapo zimefanya shughuli mbalimbali kama vile mbio za mashua za dragoni na maonyesho ya jukwaani.
Sikukuu ya Duanwu, ambayo inajulikana pia ni Siku ya Mbio za Mashua ya Dragoni, inaadhimishwa siku ya tano ya mwezi wa tano kwa kalenda ya kilimo ya China, shughuli za jadi za siku hiyo katika sehemu mbalimbali nchini China ni za aina mbalimbali, na baadhi ya sehemu zinapenda zaidi kufanya mbio za mashua ya Dragoni ili kumkumbuka mzalendo wa zama za kale wa China Qu Yuan katika Kipindi cha Mapigano ya Madola (475-221 B.K.). (Xinhua/Ju Huanzong)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma