<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Kijiji cha mjini Beijing chaendeleza utalii kwa kutegemea rasilimali za Ukuta Mkuu wa China (7)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 03, 2024
    Kijiji cha mjini Beijing chaendeleza utalii kwa kutegemea rasilimali za Ukuta Mkuu wa China
    Mvulana akitembea kupita eneo la mabaki ya ngome ya kale katika Kijiji cha Shixia, Eneo la Yanqing la Beijing, Mji Mkuu wa China, Juni 1, 2024. (Xinhua/Chen Zhonghao)

    BEIJING - Kijiji cha Shixia katika Eneo la Yanqing la Beijing, China kina historia tangu Enzi ya Ming ya China ya kale (1368-1644) na hapo zamani kilikuwa kituo muhimu kaskazini mwa sehemu ya Juyongguan ya Ukuta Mkuu wa China. Kijiji hicho, ambacho kimezungukwa na milima, kimeendeleza sekta ya utalii inayotegemea rasilimali za Ukuta Mkuu wa China katika miaka ya hivi karibuni na huvutia watalii kutoka duniani kote.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av
    <sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
    <noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>