久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Marais wa China na UAE wafanya mazungumzo

(CRI Online) Mei 31, 2024
Marais wa China na UAE wafanya mazungumzo
Rais Xi Jinping wa China akipeana mkono na rais Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan wa Umoja wa Falme za Kiarabu. (Picha na Li Xueren/Xinhua)

Rais Xi Jinping wa China amefanya mazungumzo na Rais Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ambaye yuko katika ziara ya kiserikali nchini China na kuhudhuria ufunguzi wa Mkutano wa 10 wa Mawaziri wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Nchi za Kiarabu, Alhamisi katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing.

Katika mazungumzo yao, Rais Xi amesema anaamini kuwa ziara hiyo ya Rais Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan itahimiza maendeleo ya uhusiano kati ya pande hizo mbili.

Kwa upande wake Rais Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan ameeleza kuwa, UAE ni mshirika muhimu wa kimkakati wa pande zote wa China, na China siku zote inaweka UAE katika nafasi muhimu katika mawasiliano ya kidiplomasia kati yake na nchi za Mashariki ya Kati.

Pia amesisitiza kuwa, katika miaka ya hivi karibuni, uhusiano kati ya China na UAE umedumisha mwelekeo mzuri wa maendeleo, na kutoa mfano mzuri kwa uhusiano kati ya China na nchi nyingine za kiarabu katika zama mpya.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>