久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Marais wa China na Guinea ya Ikweta wafanya mazungumzo, wainua hadhi ya uhusiano (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 29, 2024
Marais wa China na Guinea ya Ikweta wafanya mazungumzo, wainua hadhi ya uhusiano
Rais Xi Jinping wa China akifanya hafla ya kumkaribisha Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, Rais wa Jamhuri ya Guinea ya Ikweta, kwenye uwanja wa nje ya lango la mashariki la Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, China, Mei 28, 2024. (Xinhua/Yin Bogu)

BEIJING -China na Guinea ya Ikweta zimeinua uhusiano wao kuwa uhusiano wa wenzi wa ushirikiano wa kimkakati kwa pande zote. Hili limetangazwa na Rais Xi Jinping wa China na Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, Rais wa Jamhuri ya Guinea ya Ikweta, kwenye mazungumzo yao yaliyofanyika mjini Beijing siku ya Jumanne.

Rais Xi amesema China na Guinea ya Ikweta ni marafiki na washirika wazuri, na uhusiano wao una sifa wazi zaidi ya kuaminiana kisiasa kwenye kiwango cha juu.

Tangu zianzishe uhusiano wa kidiplomasia zaidi ya nusu karne iliyopita, pande hizo mbili zimekuwa zikisaidiana katika nyakati mbaya na nzuri, na kuungana mkono kwa dhati katika masuala yanayohusu maslahi ya kimsingi na masuala makuu yanayofuatiliwa na kila mmoja wao, amesema.

Ameeleza kuwa, chini ya mazingira mapya, kuimarisha na kuendeleza uhusiano kati ya China na Guinea ya Ikweta kunaendana na maslahi ya kimsingi na matarajio ya pamoja ya nchi hizo mbili na watu wake.

Amesema China inaiunga mkono kithabiti Guinea ya Ikweta katika kulinda mamlaka ya nchi na uhuru wa kujitawala, kupinga uingiliaji kutoka nje, na kutafuta kwa kujiamulia njia yake ya maendeleo.

Amesema China ingependa kutumia fursa hiyo ya kuinua hadhi ya uhusiano wa nchi hizo mbili ili kuzidisha mawasiliano ya kirafiki na Guinea ya Ikweta, na kubadilishana uzoefu katika mageuzi, maendeleo na kupunguza umaskini ili kuleta msukumo wa kudumu katika urafiki wa jadi wa nchi hizo mbili.

Akibainisha kuwa kustawisha mshikamano na ushirikiano na nchi za Afrika ni msingi muhimu wa sera ya mambo ya nje ya China, Rais Xi amesema China ingependa kufanya juhudi pamoja na Afrika katika kufanya vizuri mkutano mpya wa kilele wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC), kuenzi zaidi urafiki wa jadi, kuimarisha mshikamano na ushirikiano, kujadili mipango ya maendeleo na ushirikiano wa siku za baadaye, na kufungua ukurasa mpya wa ujenzi wa jumuiya ya China na Afrika yenye mustakabali wa pamoja.

Kwa upande wake Obiang amesema, China ni nchi kubwa ya mashariki, ndugu mwema na mshirika wa kimkakati wa kutegemewa wa Guinea ya Ikweta, na tangu nchi hizo mbili zianzishe uhusiano wa kidiplomasia miaka 54 iliyopita, uhusiano kati ya pande mbili umedumisha maendeleo ya kirafiki na hivi sasa uko katika kipindi bora zaidi katika historia.

Amesema dhana ya kujenga jumuiya ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja, Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja, Pendekezo la Maendeleo ya Dunia, Pendekezo la Usalama wa Dunia na Pendekezo la Ustaarabu wa Dunia yote hayo aliyotoa Rais Xi, yanasaidia kuhimiza amani na maendeleo ya binadamu na kujenga Dunia bora zaidi.

Huku akieleza kuwa Guinea ya Ikweta inashikilia kithabiti kanuni ya kuwepo kwa China moja, Obiang amesema kuna China moja tu duniani. Taiwan ni sehemu isiyoweza kutengwa ya ardhi ya China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>