Lugha Nyingine
China yarusha setilaiti mpya kwenye anga ya juu (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 13, 2024
Roketi ya Long March-4C iliyobeba setilaiti ya Shiyan-23 ikirushwa kutoka kwenye Kituo cha Urushaji Setilaiti cha Jiuquan kaskazini magharibi mwa China, Mei 12, 2024. (Picha na Wang Jiangbo/Xinhua) |
JIUQUAN - China imerusha roketi ya Long March-4C siku ya Jumapili, ambapo roketi hiyo ilirushwa majira ya saa 1:43 asubuhi (Saa za Beijing) kutoka Kituo cha Urushaji Satelaiti cha Jiuquan kaskazini magharibi mwa China na kupeleka satelaiti Shiyan-23 kwenye obiti iliyopangwa。
Setilaiti hiyo itatumika hasa kwa ufuatiliaji wa mazingira ya anga ya juu.
Hiyo ni safari ya 522 ya anga ya juu kwa roketi za mfululizo wa Long March.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma