Lugha Nyingine
Mji wa Yuhuan Mkoani Zhejiang:?Kukuza uzalishaji wa umeme kwa nishati ya upepo baharini na kusaidia maendeleo ya?kijani (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 11, 2024
Mei 10, Mwaka 2024, katika eneo la bahari la ghuba ya Aiwan ya mji wa Yuhuan, Mkoa wa Zhejiang, uwanja wa No.1 wa Yuhuan wa kuzalisha umeme kwa nishati ya upepo uko katika ujenzi wa haraka. |
Katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na hali halisi ya upungufu wa ardhi na rasilimali katika eneo la kisiwa, Mji wa Yuhuan umetumia vya kutosha nguvu bora ya rasilimali ya nishati ya upepo kwenye eneo la bahari na kukuza kwa nguvu kubwa viwanda vya kuzalisha umeme kwa nishati ya upepo, kujenga mfumo wa aina mpya wa nishati ya umeme, ili kuhimiza eneo hilo kupata ufanisi wa kiuchumi na kiikolojia.(Mpiga picha: Duan Junli/Tovuti ya Picha ya Umma)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma