Lugha Nyingine
Bendera ya taifa ya China na Mabango ya Makaribisho yatundikwa sehemu nyingi za Serbia
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 07, 2024
?Wakati siku ya kuwasili kwa Rais Xi Jinping wa China nchini Serbia inapokaribia, bendera ya taifa ya China na mabango makubwa yenye maneno ya lugha ya Kichina ya “Karibu kwa mikono miwili Rafiki Mheshimiwa kutoka China!” yametundikwa kando za barabara na kwenye majengo mbalimbali huko Beograd, Mji Mkuu wa Serbia.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma