久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Chombo cha anga ya juu cha Shenzhou-17 charudi duniani na kutua kwa mafanikio (5)

(CRI Online) Mei 02, 2024
Chombo cha anga ya juu cha Shenzhou-17 charudi duniani na kutua kwa mafanikio
Mwanaanga wa Chombo cha anga ya juu cha Shenzhou-17 Tang Shengjie alitoka salama kwenye chombo. (Picha/Xinhua)

Chombo cha anga ya juu cha Shenzhou-17 kimerudi duniani na kutua kwa mafanikio tarehe 30 Aprili.

Madaktari wamethibitisha kuwa wanaanga watatu waliokuwa kwenye chombo hicho wako katika hali nzuri ya kiafya, na kuonesha kuwa jukumu la chombo cha Shenzhou-17 limepata mafanikio mazuri.

Chombo cha Shenzhou-17 kilichorushwa katika anga za juu tarehe 26 Oktoba mwaka 2023 kutoka Kituo cha Kurushia Satelaiti cha Jiuquan, kiliungana na moduli ya Tianhe katika Kituo cha Anga ya Juu cha China. Walipokuwa katika anga ya juu, wanaanga watatu walisafiri kwa siku 187, na kutembea nje ya chombo hicho mara mbili na kufanya kazi mbalimbali za uundaji, marekebisho na utengenezaji wa vifaa vya kituo hicho, na majaribio mengi ya kisayansi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>