Lugha Nyingine
Wakati Michezo ya Olimpiki ya Paris ikikaribia, Oda za Bidhaa za Michezo zaongezeka kwa kasi Yiwu, China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 11, 2024
Medali zinazouzwa zaidi zikionekana kwenye duka mjini Yiwu, Mkoa wa Zhejiang, China. (Picha na Dong Yixin) |
Ikiwa ni miezi chini ya minne tu imebaki kabla ya kufunguliwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Paris, maduka mengi katika eneo la biashara ya kimataifa la Yiwu, ambao ni mji mashuhuri wa China kwa biashara yake ya rejareja na jumla ya kimataifa, umeshuhudia oda nyingi za bidhaa zinazohusiana na michezo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma