Lugha Nyingine
Jukwaa la kilimo cha kisasa laboresha ufanisi wa uzalishaji mazao katikati ya China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 11, 2024
Kituo cha teknolojia za kisasa za kupandikiza miche ya mazao ya kilimo katika Wilaya ya Datonghu ya Mji wa Yiyang, Mkoa wa Hunan, Katikati mwa China kimeanza kazi ya kupandikiza miche ya mazao siku ya Jumatano. Kwa kutegemea msaada wa jukwaa la kilimo cha teknolojia za kisasa, wafanyakazi wa kituo hicho wanaweza kuendesha na kudhibiti shughuli za kilimo wakiwa mbali na eneo husika na kutekeleza taratibu nyingine za kilimo.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma