Lugha Nyingine
Maonyesho ya 4 ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China yaendelea kuandaliwa mkoani Hainan (4)
Maonyesho ya 4 ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China (CICPE) yatafanyika huko Haikou, mji mkuu wa Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China, kuanzia Aprili 13 hadi 18. Maonyesho hayo yatafanyika katika maeneo mbalimbali, huku Kituo cha Kimataifa cha Mikutano na Maonyesho cha Hainan kikitumika kuwa ukumbi mkuu wa maonesho hayo. Maonyesho hayo yataangazia maonyesho yenye mada maalum kuhusu mashua na boti, manunuzi ya bidhaa za afya na kadhalika. Chapa zaidi ya 3,000 kutoka nchi na maeneo 59 zitashiriki katika maonyesho hayo.
Shughuli ya kuadhimisha Siku ya Mashua ya Qintong 2024 yafanyika Jiangsu, China
Watu watoa heshima kwa marehemu kabla ya siku ya Qingming katika Mji wa Beijing, China
Msanii wa Ethiopia abuni sanaa kutokana na ufunuo wa kitabu maarufu cha China “Yi Jing”
Treni yaendeshwa katikati ya maua karibu na sehemu ya Juyongguan ya Ukuta Mkuu wa Beijing
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma