Lugha Nyingine
Teknolojia za kisasa za kilimo zatumika katika?kituo cha mboga huko Aksu, Xinjiang (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 26, 2024
Picha inayopigwa kwa droni Tarehe 24, Machi ikionyesha kituo cha mboga katika Mji wa Wilaya ya Aykol ya Mji wa Aksu, Mkoa unaojiendesha wa kabila la Wauyghur wa Xinjiang, kaskazini-magharibi mwa China. (Xinhua/Picha na Ding Lei) |
Kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya kilimo, kituo cha mboga katika Mji wa Wilaya ya Aykol ya Mji wa Aksu umekuwa kituo muhimu cha mboga katika eneo la kusini la Xinjiang.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma