Lugha Nyingine
Ujenzi wa kituo cha uzalishaji na usambazaji wa hidrojeni cha Sany wakamilika huko Changsha, China (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 21, 2024
Kikiwa kimeanzishwa katika eneo la maendeleo ya kiuchumi la Changsha, China, kituo cha uzalishaji na usambazaji wa hidrojeni cha Kundi la Kampuni za Sany la China ujenzi wake umekamilika na kuwa na uwezo wa kimsingi wa kutoa huduma.
Kikiwa na uwezo wa kila siku wa kuzalisha si chini ya tani mbili za hidrojeni kwa siku, kituo hicho kinaweza kujaza hidrojeni kwa magari manne yanayotumia hidrojeni kwa wakati mmoja. (Xinhua/Chen Zeguo)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma