<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Xi Jinping akagua Mji wa Changsha katika Mkoa wa Hunan katikati ya China

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 19, 2024
    Xi Jinping akagua Mji wa Changsha katika Mkoa wa Hunan katikati ya China
    Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC), akitembelea kampasi ya Chuo Kikuu cha Kwanza cha Ualimu cha Hunan, na kufahamishwa kuhusu juhudi za chuo hicho katika kutumia rasilimali zinazohusiana na urithi wa Chama kwa matumizi makubwa na utiliaji maanani wake katika kuhimiza maadili mema kupitia elimu huko Changsha, Mkoa wa Hunan, katikati ya China, Machi 18, 2024. (Xinhua/Xie Huanchi)

    CHANGSHA - Rais wa China Xi Jinping, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC) siku ya jumatatu amekagua Changsha, mji mkuu wa Mkoa wa Hunan katikati ya China, ambapo alitembelea kampasi ya Chuo Kikuu cha Kwanza cha Ualimu cha Hunan na kampuni ya vifaa vya betri.

    Amefahamishwa kuhusu jitihada za chuo kikuu hicho katika kutumia rasilimali zinazohusiana na urithi wa Chama kwa matumizi makubwa, utiliaji maanani wake katika kuhimiza maadili mema kupitia elimu, na jitihada za serikali ya mtaa katika kuharakisha maendeleo ya nguvu mpya za uzalishaji zenye sifa bora na kuhimiza ufunguaji mlango wa kiwango cha juu.?

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av
    <sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
    <noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>