Lugha Nyingine
Mradi wa upitishaji umeme wa 1,000kV wa Sichuan-Chongqing waendelea kujengwa nchini China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 18, 2024
Mradi wa upitishaji umeme wenye uwezo wa 1,000kV wa Sichuan-Chongqing utahusisha stesheni nne za kupozea umeme wenye volteji ya juu sana (UHV) katika Mji wa Chongqing na mkoa jirani wake wa Sichuan nchini China. Mradi huo utakapokamilika, nishati ya umeme ya bilioni 35 kWh itapitishwa kila mwaka. (Xinhua/Huang Wei)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma