Lugha Nyingine
Mji wa Yichun, Kaskazini Mashariki mwa China waendeleza tasnia ya uchongaji wa vinyago ili kukuza uchumi
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 18, 2024
Mfanyakazi akichonga pambo la kinyago cha gogo la miti kwenye karakana huko Yichun, Mkoa wa Heilongjiang, Kaskazini Mashariki mwa China, Machi 14, 2024. |
Mji wa Yichun katika Mkoa wa Heilongjiang, Kaskazini Mashariki mwa China umetumia kwa tija rasilimali yake kubwa ya misitu kusukuma maendeleo ya tasnia ya vinyago vya magogo ya miti katika miaka ya hivi karibuni. Umefanya juhudi kuongeza ufundi wa uchongaji vinyago wa wafanyakazi, kuelimisha vipaji na kupanua ushawishi wa chapa ili kuongeza ukuaji wa uchumi wa mji huo. (Xinhua/Xie Jianfei)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma