Lugha Nyingine
China yaongeza kasi ya ujenzi wa Bandari ya Biashara Huria ya Hainan (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 15, 2024
Mfanyakazi akifanya kazi kwenye mahali pa ujenzi wa sehemu ya kurusha vyombo vya kibiashara kwenda anga ya juu ya Hainan huko Wenchang, Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China, Machi 6, 2024. (Xinhua/Pu Xiaoxu) |
HAIKOU - Katika kipindi cha miaka kadhaa iliyopita, China imepata maendeleo kwa hatua madhubuti katika kujenga bandari ya biashara huria ya kiwango cha juu (FTP) katika Mkoa wa Hainan ambao ni mkoa wake wa visiwa, kusini mwa China. Miradi mikubwa katika mkoa huo inaendelea kujengwa kama ilivyopangwa kwa utaratibu.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma