Lugha Nyingine
Watu wa kabila la Wagelao washerehekea Sikukuu ya Maolong huko Guizhou, Kusini Magharibi mwa China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 21, 2024
SHIQIAN - Sikukukuu ya Maolong, ambayo ni shughuli ya kitamaduni kwa watu wa kabila la Wagelao katika Tarafa ya Shiqian, Mkoa wa Guizhou, Kusini Magharibi mwa China kusherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China na Sikukuu ya Taa za Kijadi, imeorodheshwa kama mojawapo ya rithi za kitamaduni zisizoshikika Mwaka 2006.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Wakulima kote China wawa na pilika nyingi za uzalishaji wa kilimo wakati Siku ya Yushui yakiwadia
Ndege C919 ya China yashiriki mazoezi ya Maonyesho ya Anga ya Singapore
Chuo Kikuu cha Kenyatta chafanya maonyesho ya dragoni wa China ili kukuza mawasiliano ya kitamaduni
Mkoa wa Xizang, China wafungua maeneo ya utalii kwa umma bila tiketi ili kuhimiza utalii
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma