Lugha Nyingine
Wakulima kote China wawa na pilika nyingi za uzalishaji wa kilimo wakati Siku ya Yushui yakiwadia (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 19, 2024
Mkulima akimwagilia maua katika Mji mdogo wa Lyuyi wa Mji wa Binzhou katika Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa Chinai, Februari 18, 2024. (Picha na Chu Baorui/Xinhua) |
Wakulima kote China wako na shughuli nyingi za uzalishaji wa kilimo wakati siku ya Yushui (Maji ya Mvua), ambayo ni ya pili katika vipindi 24 vya hali ya hewa kwa kalenda ya kilimo ya China, inapokaribia. Siku ya Yushui inaangukia leo Februari 19.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma