Lugha Nyingine
Mkoa wa Xizang, China wafungua maeneo ya utalii kwa umma bila tiketi ili kuhimiza utalii (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 14, 2024
Watu wakitembelea Mtaa wa Barkhor mjini Lhasa, Mkoa unaojiendesha wa Xizang, Kusini-Magharibi mwa China, Februari 11, 2024. (Xinhua/Sun Ruibo) |
Maeneo maarufu ya utalii katika Mkoa wa Xizang, China kama vile Kasri la Potala, yamefunguliwa kwa umma bila tiketi hadi Machi 15, 2024, ikiwa ni sehemu ya kutangaza shughuli za utalii wa majira ya baridi wa mkoa huo.
Wakati wa kipindi cha kuhimiza utalii wa majira ya baridi, maeneo yote ya vivutio vya utalii vya kiwango cha A katika mkoa huo wa Xizang yatafunguliwa kwa umma bila tiketi, isipokuwa maeneo ya mahekalu. (Xinhua/Sun Fei)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma