Lugha Nyingine
Eneo la biashara huria la?Heihe?kaskazini zaidi mwa China lapata ongezeko kubwa la biashara ya nje
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 02, 2024
HEIHE – Mwaka 2023, Eneo la Majaribio ya Biashara Huria la Heihe la China Mkoani Heilongjiang, Kaskazini Mashariki mwa China lilishuhudia ongezeko kubwa la biashara ya nje, na kufikia biashara ya jumla ya kuagiza na kuuza nje bidhaa yenye thamani ya yuan bilioni 24.482 (kama dola bilioni 3.4 za Kimarekani), ambayo ni ongezeko la wastani ya kila mwaka asilimia 56.9.
Wakati huo huo, kampuni jumla ya 16 kutoka nje ziliwekeza katika eneo hilo, na kusababisha matumizi ya moja kwa moja ya mtaji wa kigeni wenye thamani ya jumla ya dola za Kimarekani milioni 1.273, ikiwa ni ongezeko la asilimia 27.3 mwaka hadi mwaka.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma