Lugha Nyingine
Sehemu ya pili ya mradi wa jengo la Kituo cha Mambo ya Fedha cha Nanjing wawekewa vifuniko (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 18, 2024
Muundo mkuu wa sehemu ya pili ya mradi wa jengo la Kituo cha Mambo ya Fedha cha Nanjing (sehemu ya Mashariki) umewekewa vifuniko siku ya Jumanne. Ukiwa na eneo la jumla la maghorofa lenye ukubwa wa mita za mraba 429,000, mradi huo umesanifiwa kuwa jengo la mambo mengi likiwa na kazi za ofisi, huduma za ukarimu, makazi na maeneo ya kibiashara. (Xinhua/Li Bo)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma