久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

China yavuka lengo lake la?ukuaji wa uchumi huku Pato la Taifa (GDP) likifikia rekodi ya juu (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 18, 2024
China yavuka lengo lake la?ukuaji wa uchumi huku Pato la Taifa (GDP) likifikia rekodi ya juu
Watalii wakitembelea duka lisilotozwa ushuru mjini Sanya, Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China, Septemba 30, 2023. (Xinhua/Guo Cheng)

BEIJING - Uchumi wa China umemaliza Mwaka 2023 kwa ukuaji wa kiwango cha juu licha ya changamoto za ndani na shinikizo kutoka nje, ukitoa msukumo mkubwa kwa uchumi wa Dunia ambapo Pato la Taifa la China (GDP) lilikua kwa asilimia 5.2 mwaka hadi mwaka na kufikia kiwango cha juu cha Yuan trilioni 126.06. (sawa na dola trilioni 17.7 za Kimarekani) mwaka jana.

Idara ya Taifa ya Takwimu ya China imesema Jumatano kwamba kiwango hicho cha ongezeko ni cha juu kuliko lengo la mwaka la serikali la asilimia karibu 5 na kinazidi kiwango cha ongezeko la asilimia 3 Mwaka 2022.

Mkuu wa idara hiyo, Kang Yi amesema China imetimiza malengo makuu yaliyowekwa kwa Mwaka 2023 na kushuhudia kuimarika kwa nguvu na kuboreka kwa ufanisi kwa uchumi wake.

Injini ya Ukuaji wa Uchumi Duniani

Mchango wa China katika ukuaji wa Pato la Uchumi la Dunia unatarajiwa kufikia asilimia zaidi ya 30 Mwaka 2023, na kuifanya kuwa injini yenye nguvu zaidi ya ukuaji wa uchumi duniani, Kang amesema kwenye mkutano na waandishi wa habari.

"Ukuaji wa uchumi wa China siyo tu unapita makadirio ya ukuaji wa kimataifa wa asilimia 3, lakini pia unashika nafasi ya juu kati ya nchi zenye uchumi mkubwa," Kang amesema.

Hali nzuri kwa ukuaji wa uchumi

Alipozungumzia kuhusu mtazamo wa uchumi wa China Mwaka 2024, Kang amesema uchumi wa China utaendelea kuimarika kwa nguvu na kuboreka kwani "misingi imara ya muda mrefu ya nchi hiyo bado haijabadilika."

Maendeleo ya uchumi wa China mwaka huu yanachangiwa na hali mbalimbali wezeshi, ikiwa ni pamoja na kasi nzuri ya kiuchumi, uhimilivu mkubwa, uhai mkubwa, mageuzi ya kina na ufunguaji mlango, na nafasi kubwa ya sera, Kang amesema.

Mashirika kadhaa ya kimataifa, kama vile Shirika la Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo (OECD) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), pia yameonesha ishara njema ya matarajio ya uchumi wa China Mwaka 2024 na kurekebisha makadirio yao juu ya ukuaji wa uchumi wa China.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>