Lugha Nyingine
Bandari ya Dalian, China yasafirisha nje ya nchi magari zaidi ya 100,000 (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 17, 2024
Magari yatakayosafirishwa nchi za nje yakisubiri kupakiwa kwenye meli katika Bandari ya Dalian, Tarehe 16, Januari. |
Idara ya Forodha ya Mji wa Dalian, China imetoa taarifa kuwa, mwaka 2023 magari 102,773 yalisafirishwa nje ya nchi kupitia Bandari ya Dalian, ikiwa ni ongezeko la asilimia 143 kuliko mwaka uliotangulia na kuweka rekodi mpya ya idadi kubwa.
(Picha na Chen Wei/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma