Lugha Nyingine
Watu wa sehemu mbalimbali za China wajiandaa kwa Mwaka Mpya kwa kalenda ya jadi ya China (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 16, 2024
Picha iliyopigwa Januari 14, 2024 ikionesha mwanasarakasi akifanya maonesho huko Yazhou, Mji wa Haian katika Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China. (Picha na Zhai Huiyong/Xinhua) |
Likizo ya Mwaka mpya kwa kalenda ya jadi ya China 2024 itaanzia tarehe 10 hadi 17 mwezi wa Februari.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma