Lugha Nyingine
Pilikapilika za uvuvi wa majira ya baridi katika Mkoa wa Hunan, Katikati ya China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 15, 2024
Wavuvi wakiuza samaki waliovuliwa punde katika Kijiji cha Yanhedi kilichoko Wilaya ya Nanxian, Mkoa wa Hunan, Katikati ya China, Januari 13, 2024. (Xinhua/Chen Sihan) |
Wilaya ya Nanxian hivi sasa inashuhudia pilikapilika za uvuvi wa majira ya baridi zinazofanywa na wavuvi wenyeji ili kukidhi mahitaji ya soko. Uzalishaji wa kila mwaka wa mazao ya majini ya wilaya hiyo Mwaka 2023 ulifikia uzito wa tani 162,000.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Wanasarakasi wa China waonekana kwenye Tamasha la Kimataifa la Sarakasi la Budapest, Hungary
Treni ya tramu inayotumia umeme yapambwa na taa ili kuvutia watalii huko Dalian, China
Taa za kupendeza za mapambo zaleta shamrashamra za mwaka mpya mkoani Shandong, China
Ukaushaji wa mahindi waleta mandhari kama ya picha ya kuchorwa katika Mji wa Mile, Yunnan, China
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma