久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Treni ya tramu inayotumia umeme yapambwa na taa ili kuvutia watalii huko Dalian, China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 12, 2024
Treni ya tramu inayotumia umeme yapambwa na taa ili kuvutia watalii huko Dalian, China
Picha iliyopigwa Januari 9, 2024 ikionesha treni ya tramu inayotumia umeme ikitoa huduma za usafiri huko Dalian, Mkoa wa Liaoning, Kaskazini Mashariki mwa China. (Xinhua/Pan Yulong)

Kuanzia Desemba 31, 2023, treni kadhaa za tramu zinazotumia umeme za abiria katika Mji wa Dalian zimepambwa na taa ili kuvutia watalii wengi zaidi. Historia ya treni za tramu zinazotumia umeme katika mji huo wa Dalian ilianzia mwaka 1909. Baada ya uendeshaji wa zaidi ya miaka 100, treni hizo za tramu zinazotumia umeme za abiria zimekuwa alama ya mji huo inayopendwa.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>