Lugha Nyingine
Wanasarakasi wa China waonekana kwenye Tamasha la Kimataifa la Sarakasi la Budapest, Hungary (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 12, 2024
Wanasarakasi wa China wakifanya maonyesho katika Tamasha la Kimataifa la Sarakasi la Budapest, nchini Hungary, Januari 10. |
Tamasha la 15 la Kimataifa la Sarakasi la Budapest nchini Hungary limefunguliwa Januari 10, 2024 ambapo wanasarakasi kutoka China ni moja ya makundi mbalimbali yanayotoa burudani kwenye tamasha hilo.
(Picha na Attila Volgyi/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma