Lugha Nyingine
Taa za kupendeza za mapambo zaleta shamrashamra za mwaka mpya mkoani Shandong, China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 09, 2024
Watu wakitembea na kutazama taa za mapambo kwenye Tamasha la Taa za Mapambo la Ziwa Yudai la Zibo 2024, Tarehe 4, Januari. |
Hivi karibuni, Tamasha la Taa za Mapambo la Ziwa Yudai la Zibo 2024 limefunguliwa kwenye Bustani ya Ziwa Yudai katika Mji wa Zibo, Mkoa wa Shandong, China. Tamasha hilo kwa jumla limeweka vikundi 60 vya taa kubwa za mapambo, na litaendelea hadi tarehe 11, Machi.
(Picha na Xu Suhui/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma