Lugha Nyingine
Ukaushaji wa mahindi waleta mandhari kama ya picha ya kuchorwa katika Mji wa?Mile, Yunnan, China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 08, 2024
Watu wa Kabila la Wayi katika Makazi ya Malong iliyoko Mji Mdogo wa Xisan katika Mji wa Mile, Mkoa wa Yunnan, China wakikausha mahindi waliyovuna kwa kuleta mandhari ya kama picha ya kuchorwa, Tarehe 6, Januari, Mwaka 2024. |
Katika miaka ya hivi karibuni, watu wa huko wamekuwa wakikausha mahindi katika maeneo ya wazi, ili kuyafanya yapate hewa nzuri, na rahisi kukaushwa na kuhifadhiwa. Ukaushaji huo wa mahindi umeongeza mandhari ya kupendeza kwenye kijiji hicho. (Picha kutoka vip.people.com.cn)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma