Lugha Nyingine
"Mji wa barafu" wa Harbin nchini China washuhudia kushamiri kwa kiasi kikubwa kwa utalii (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 08, 2024
Watalii wakionekana katika eneo la burudani ya barafu kwenye sehemu ya Harbin ya Mto Songhuajiang katika Mji wa Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, Kaskazini Mashariki mwa China, Januari 7, 2024. (Xinhua/Xie Jianfei) |
Mji wa Harbin unaoitwa "mji wa barafu" wa China, hivi karibuni umeonekana kuwa na ustawi mkubwa katika shughuli zake za utalii. Eneo la burudani kwenye barafu, lililobadilishwa kutoka mahali pa kukusanya barafu isiyotumika, limevutia watalii wengi kufurahia huku mabonge ya barafu yakiwa yamezagaa kwenye Mto Songhuajiang.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma