Lugha Nyingine
Bandari za China zawa na pilikapilika za usafirishaji mwanzoni mwa mwaka mpya (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 04, 2024
Magari yakisubiri kupakiwa kwenye meli ili kusafirishwa kwenda nchi za nje katika Bandari ya Yantai Mkoani Shandong, China tarehe 2, Januari. (Picha na Tang Ke/Xinhua) |
Wakati mwaka mpya unapoanza, bandari mbalimbali nchini China ziko katika pilikapilika za kuingia na kutoka kwa meli na usafirishaji wa makontena.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma