久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Mamlaka za serikali nchini China zaweka mikakati mipya ya sera ili kuendesha uchumi Mwaka 2024

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 28, 2023

Picha hii iliyopigwa Desemba 12, 2023 ikionyesha treni ya mwendo kasi ikipita kwenye daraja kuu katika Ziwa Poyang kwenye reli ya mwendo kasi ya Hangzhou-Nanchang katika Mkoa wa Anhui, Mashariki mwa China. (Xinhua/Xing Guangli)

Picha hii iliyopigwa Desemba 12, 2023 ikionyesha treni ya mwendo kasi ikipita kwenye daraja kuu katika Ziwa Poyang kwenye reli ya mwendo kasi ya Hangzhou-Nanchang katika Mkoa wa Anhui, Mashariki mwa China. (Xinhua/Xing Guangli)

BEIJING - Kufuatia Mkutano wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) kuhusu kazi ya uchumi uliofanyika mapema mwezi huu, mamlaka mbalimbali za serikali ya China zimeitisha mikutano, na kufanya mipango halisi kuhusu mwelekeo wa ongezeko la uchumi wa China Mwaka 2024, ambapo kuhimiza uvumbuzi wa sayansi na teknolojia na kupanua mahitaji ya ndani ni majukumu makubwa ya uchumi wa China, ikionesha mwelekeo wa utungaji wa sera za nchi ya China.

Uvumbuzi wa Sayansi na Teknolojia

Mkutano wa Kamati Kuu ya CPC kuhusu kazi ya uchumi umeweka kazi ya kuhimiza uvumbuzi wa sayansi na teknolojia ili kusaidia maendeleo ya mfumo wa kisasa wa viwanda kuwa kipaumbele cha juu kwenye ajenda ya uchumi kwa mwaka ujao.

Chini ya mwongozo wa mkutano huo, mkutano wa hivi karibuni kuhusu kazi ya taifa ya viwanda na teknolojia ya upashanaji wa habari wa China umebainisha malengo makuu ya kuongeza uwezo wa uvumbuzi wa kisayansi na kiteknolojia wa viwanda, kuharakisha mabadiliko ya muundo wa viwanda vya jadi ili kupanda ngazi ya juu, na kuimarisha nafasi inayoongoza ya viwanda vyenye nguvu bora. Idara za mambo ya fedha na raslimai zimeahidi kuunga mkono uvumbuzi wa sayansi na teknolojia wa China ipasavyo.

Kupanua mahitaji ya ndani

Mkutano wa taifa wa China wa kazi za kibajeti pia umepanga kutekeleza uamuzi mwingine muhimu wa Mkutano wa Kamati Kuu ya CPC kuhusu kazi ya uchumi ambao ni kupanua mahitaji ya ndani huku kukiwa na kutumia kikamilifu uwezo wa kifursa wa matumizi na kupanua uwekezaji unaofaa.

Katika suala hili, mkutano huo umetoa wito wa kufanya juhudi za kuendeleza soko la kote nchini linaloratibiwa vema, kutumia kwa ufanisi nyongeza za dhamana za za serikali, na kuimarisha misingi ya biashara ya nje na uwekezaji wa kigeni.

Katika hali kama hiyo, mkutano mwingine kuhusu kazi ya maendeleo na mageuzi ya taifa ya China pia umesisitiza kutumia kwa ufanisi nyongoza za yuan trilioni 1 (takriban dola za kimarekani bilioni 140.84) za dhamana za serikali, uwekezaji wa serikali ndani ya mpango wa bajeti kuu ya Serikali na dhamana maalum za serikali za mitaa.

Kwa upande mwingine, Wizara ya Biashara ya China, itajikita katika kuhimiza matumizi kupanuka zaidi kwenye maeneo makubwa kutoka hali ya kufufuka kwa uchumi baada ya UVIKO-19.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>