Lugha Nyingine
Eneo la Kivutio cha Utalii lafunguliwa ili kustawisha uchumi wa usiku wa Xinjiang
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 25, 2023
Eneo hilo limefunguliwa hivi karibuni ili kuhimiza maendeleo ya shughuli mbalimbali za utalii wa majira ya baridi. Wakati wa usiku, shughuli za maonesho ya kucheza ngoma, maandamano ya magari yenye mapambo ya kuvutia na shughuli nyingine zinafanyika huko ili kuhimiza ongezeko la uchumi wa usiku. (Picha na Li He/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma