Lugha Nyingine
Tamasha la pili la Nairobi lafanyika (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 18, 2023
Watu wakishiriki katika Tamasha la pili la Nairobi kwenye Bustani ya Uhuru, Nairobi, Kenya, Tarehe 16, Desemba. |
Serikali ya Kaunti ya Nairobi ya Kenya imefanya Tamasha la pili la Nairobi kwenye Bustani ya Uhuru ya mji mkuu huo wa Kenya kuanzia tarehe 12 hadi 17, mwezi wa Desemba. Tamasha hilo lilivutia wakazi wengi kushiriki.
Picha na Li Yahui/Xinhua
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma