久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Reli ya Mwendokasi ya HSR nchini Indonesia yahudumia abiria zaidi ya 700,000 tangu ianze kufanya kazi kibiashara (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 18, 2023
Reli ya Mwendokasi ya HSR nchini Indonesia yahudumia abiria zaidi ya 700,000 tangu ianze kufanya kazi kibiashara
Abiria wakipiga picha pamoja na mfano wa treni ya mwendokasi inayotumia nishati ya umeme (EMU) ya reli ya mwendokasi ya Jakarta-Bandung katika Stesheni ya Halim mjini Jakarta, Indonesia, Desemba 17, 2023. (Xinhua/Xu Qin)

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kampuni ya PT Kereta Cepat Indonesia-China (KCIC), ambayo ni kampuni ya ubia kati ya kampuni zinazomilikiwa na serikali ya Indonesia na China zilizojenga na kuendesha reli ya mwendo kasi ya Jakarta-Bandung (HSR) nchini Indonesia, reli hiyo ya mwendokasi imeshahudumia abiria zaidi ya 700,000 tangu ilipoanza kufanya kazi rasmi kibiashara Oktoba 17 mwaka huu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>