久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Mnyororo thabiti wa ugavi wasaidia kampuni kubwa za biashara ya mtandaoni za China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 14, 2023

Mfanyakazi akipanga nguo zitakazoonyeshwa mtandaoni kwa ajili ya Maonyesho ya 132 ya Uagizaji na Uuzaji nje Bidhaa ya China, ambayo pia yanajulikana kama Maonyesho ya Canton, katika Kampuni ya Uagizaji na Uuzaji nje wa Mavazi ya Guangdong mjini Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China, Oktoba 14 , 2022.(Xinhua/Deng Hua)

Mfanyakazi akipanga nguo zitakazoonyeshwa mtandaoni kwa ajili ya Maonyesho ya 132 ya Uagizaji na Uuzaji nje Bidhaa ya China, ambayo pia yanajulikana kama Maonyesho ya Canton, katika Kampuni ya Uagizaji na Uuzaji nje wa Mavazi ya Guangdong mjini Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China, Oktoba 14 , 2022.(Xinhua/Deng Hua)

GUANGZHOU - Huku kukiwa na shughuli nyingi, kampuni ya kuzalisha nguo ya Guangzhou Guangjia inazalisha kila siku nguo zaidi ya 20,000 kwenye ghala lake. Ikiwa ni mgavi mkuu SHEIN, ambayo ni mojawapo ya majukwaa makubwa zaidi ya biashara ya mtandaoni ya China, kampuni hiyo sasa imepunguza ratiba yake ya kuwasilisha bidhaa hadi siku tatu.

Mabadiliko haya ya haraka siyo tu kwamba yanapunguza akiba ya kampuni hiyo lakini pia huongeza uwezo wake katika kuendana na mabadiliko ya soko, amesema Wang Yonglun, meneja mkuu wa kampuni hiyo.

Kwa mujibu wa Ju Kechang, mkurugenzi wa usimamizi wa wagavi wa SHEIN, kampuni hiyo imenufaika kutokana na mkakati wake wa kipekee wa biashara, ambao unategemea kupunguza kiasi cha ununuzi, kufupisha muda wa mzunguko wa uzalishaji, na kutambulisha bidhaa mpya kwa haraka ili kupima mwitikio wa soko.

Mabadiliko ya haraka ya mienendo ya mitindo ya mavazi yanahitaji mwitikio wa haraka katika mnyororo wa ugavi, amesema Ju. Ameongeza kuwa SHEIN ilisimamia ipasavyo mnyororo mkubwa wa ugavi kwa kuzingatia maarifa juu ya mienendo ya wanunuzi.

TEMU, soko la mtandaoni lenye makao yake nchini Marekani linalomilikiwa na kampuni ya uuzaji kwa bei ya rejareja mtandaoni ya China, PDD nayo inachukua mkakati kama huo. Kwa mujibu wa Chen Lei, mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi na afisa mtendaji mkuu mwenza wa PDD, moja ya hali bora kuu ya TEMU ni ujuzi wake kuhusu ugavi.

Uwezo thabiti wa mnyororo wa ugavi huwezesha tasnia ya utengenezaji wa nguo ya Guangzhou kuonyesha sifa za kuwa ndogo kwa wingi, haraka na gharama nafuu, amesema Chen.

Takwimu zinaonyesha kuwa TEMU sasa imeendeleza biashara katika nchi 47, na kuvutia watumiaji wa ng'ambo jumla ya milioni 120 kupakua program yake, na wastani wa vifurushi milioni 1.6 vimekuwa vikitumwa kila siku katika robo tatu za kwanza za Mwaka 2023, mwaka wa kwanza tu tangu kuanzishwa kwake.

Pamoja na mnyororo wake wa ugavi kuimarishwa, PDD sasa inatafuta fursa za biashara katika Ulaya, Amerika Kusini, Mashariki ya Kati na Afrika.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>