Lugha Nyingine
Eneo la Kijani la Mkutano wa Tabianchi wa COP28 lafunguliwa kwa umma mjini Dubai (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 04, 2023
Watu wakitembelea Eneo la Kijani la Mkutano wa 28 wa Nchi Watia Saini wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28), mjini Dubai, Falme za Kiarabu, Desemba 3, 2023. (Xinhua/Wang Dongzhen) |
Eneo la Kijani la Mkutano wa 28 wa Nchi Watia Saini wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) limefunguliwa rasmi kwa umma katika Mji wa Maonyesho wa Dubai nchini Falme za Kiarabu, siku ya Jumapili, Desemba 3, 2023.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma