Lugha Nyingine
Sanamu kubwa ya mtu wa theluji (Snowman) kuonekana kwenye Bonde la Snowman mjini Harbin, Heilongjiang, China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 04, 2023
Ujenzi wa "Sanamu kubwa ya Mtu wa theluji " (Snowman) ukiwa karibu kukamilika, katika Bonde la Snowman kwenye ufukwe wa Qunli katika Mji wa Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, Kaskazini Mashariki mwa China, Tarehe 3, Desemba. Sanamu hii kubwa ya "Mtu wa theluji" (Snowman) imesanifiwa kuwa na urefu wa karibu mita 20 kwenda juu na imepangwa kutumia theluji yenye mita za ujazo 2,000.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma