Lugha Nyingine
Kampuni za kutengeneza maringi ya magurudumu ya pikipiki katika Mji wa Chongqing nchini China zajizatiti kuboresha viwanda (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 01, 2023
Mji wa Chongqing ulioko Kusini-Magharibi mwa China ni mojawapo ya vituo muhimu vya uzalishaji na usafirishaji wa sehemu za pikipiki nchini China. Katika miaka ya hivi karibuni, Wilaya ya Dianjiang ya mji wa Chongqing imeongoza kampuni zake za uzalishaji wa maringi ya magurudumu ya pikipiki kutegemea uvumbuzi wa kisayansi na kiteknolojia ili kuendeleza uboreshaji wa viwanda.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma