Lugha Nyingine
Mji wa Boxing katika?Mkoa Shandong nchini China wajenga minyororo ya viwanda na ugavi ili kukuza uchumi (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 27, 2023
Wafanyakazi wakifanya kazi katika mstari wa uzalishaji wa kiwanda cha vifaa bapa vya chuma kilichoko Wilaya ya Boxing, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China, Novemba 26, 2023. (Xinhua/Guo Xulei) |
Wilaya ya Boxing imekuwa ikiimarisha ujenzi wa minyororo ya viwanda na ugavi ili kukuza uchumi wa sehemu hiyo katika miaka ya hivi karibuni. Wilaya hiyo imehamasisha na kujenga viwanda mbalimbali vinavyoongoza ikiwa ni pamoja na usindikaji wa nafaka, mafuta na chakula, sahani za chuma, vyombo vya jikoni vya kibiashara na viwanda vya petroli na kemikali. Katika robo tatu za kwanza za mwaka huu, jumla ya thamani ya pato la viwandani katika Wilaya ya Boxing ilifikia yuan bilioni 119.826 (sawa na dola za Kimarekani bilioni 16.76).
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma